SIKU 16 ZA UNYANYASAJI WA KIJINSIANCHINI TANZANIA
Grece Mgambi Mwandishi kutoka inchini kenya akitafakari jinsi ya kuwaokoa wanawake wanao nyanyaswa kijinsia hapo Dar - es salaam ukumbi wa PeaCock Hotel
Maurine Odwanga mwandishi kutoka nchini kenya ambaye ana fanya kazi katika gazeti la the Express akitafakari dhidi ya ukatili wa kijinsia
Talibu Haule Mwandishi wa Ebon FM ya Iringa akiwa katika ukumbi wa peacock kujadili jinsi ya kuwapa uwezo wananchi wa vijijini
Mahariri wa gazeti la Uhuru Shija akiwa ametulia kujipanga ili kuondoa mfumo dume katika Tanzania
Fatuma Gafusi akitafakari jinsi ya kupeleka ujumbe kwa wanawake Dodoma ili kuepukana na ukeketaji wawanawake
Yohana mtalamu wa kuandika makala akisiliza kwa makini mada kuhusu vitendo vya unyanyasaji wawatoto wakike
washiriki wa semina ya unyanyasaji wa jinsia katika ukumbi wa Peacock jijini Sar -es -salaam
Gladiness mkufunzi wa kimataifa akiwa anajipanga tayari kuwakilisha mada kuhusu siku 16 za unyanyasaji wa kijinsia


0 Comments:
Post a Comment
Subscribe to Post Comments [Atom]
<< Home